MTV Music Awards June 6th, 2014

tuufufue mchiriku na mdudiko huu mziki haupatikani popote duniani isipokua bongo tu
 
ni ustaarabu wa kawaida kabisa ukianzisha thread kama tupeane mlejesho huyu diamondo vipi imekuwaje huko kwazul natal?
 
Kumbuka mafikizolo wanamkubali huyo unaemsema hamna kitu ,na wameomba wameomba wafanye nae collabo ikibidi kulipia gharama za kuendelea kukaa south mpka collabo ifanyike coz wanaamin uwezo na kick yake saiv Afrika ..tupende vyetu @ Yusuph Issa

Ni lazima umsifie domo kwani ndo anayekufanya uende chooni.
 
mziki wa vionjo vyetu upo ila hatuupi saport mfano mziki anaoimba Best Naso unavionjo vya kibongo kabisa
 
Sidhani kama ni vionjo...kama ni wa kutoka unatoka tu....

Akina P square mbona mziki wao ni wa kimarekani zaidi...wanachowakilisha pale ni kingereza chao kibovu bovu lakini wanaiga kina Usher Raymond

Saida Karoli aliyekuwa pure african yuko wapi?

Mziki burudani bana wakituburudisha tunaupenda regardless ni wa vionjo vya Tz au Ulaya....

mziki wa vionjo vyetu upo ila hatuupi saport mfano mziki anaoimba Best Naso unavionjo vya kibongo kabisa
 
kwa hiyo kujua kiingereza ndio dili sana? we ni jinga sana
 
mziki wa vionjo vyetu upo ila hatuupi saport mfano mziki anaoimba Best Naso unavionjo vya kibongo kabisa

jielewe wewe huyo ng'ombe ulo mtaja anavionjo gani wewe unavyodhani studio zilezile kisaka sijui buhemba record minyimbo yake yote mitishamba si bora hata ungesema mziki wa dogo jack wa jagwa music ama seven surviver wa kina marehemu juma mpogo kidogo ninge kwelewa mziki wa asili aliimba baba j tu Sadat kono la shaba,
 
Tungekoma mtaa wa pili, maana na kenyew kanapendag sifa za kijinga

Binamu nipe umbeaa yaan sijui wala sielewi ilikuaje hukoo vip team Wema safari hii nyota imezima auui????
 
Binamu nipe umbeaa yaan sijui wala sielewi ilikuaje hukoo vip team Wema safari hii nyota imezima auui????

WApo kimyaaa, jipange naona anajisafisha ooh madame kapendeza sana, sasa iv wanamvaa diva, nasikia jana alipost kuwa kafurah sana ndomo kukosa tuzo, so mashambuliz kwa diva, naona ishu ya tuzo wameipotezea
 
Tungekoma mtaa wa pili, maana na kenyew kanapendag sifa za kijinga
wanafananisha umaarufu wa nje na wa ndani,hivi kweli Diamond wa kumfananisha na Davido kwa umaarufu?
skelewu inapigwa africa nzima,hata kwenye clubs kibao inapigwa,mi nakuambia hata kungekuwepo tuzo za East Africa Diamond kuchukua msanii bora atatoa jasho
 
WApo kimyaaa, jipange naona anajisafisha ooh madame kapendeza sana, sasa iv wanamvaa diva, nasikia jana alipost kuwa kafurah sana ndomo kukosa tuzo, so mashambuliz kwa diva, naona ishu ya tuzo wameipotezea

Kumbee bina sipati picha tuzo ingenyakuliwa sasa hivi ingekua matangazo mengiiii aisee,naona Wema alijiandaa kwenda pale mbele kama kwenye KTMA na aunt nae alieoa kala hasara jamaniiii mke kutwa kuzurulaaaa
 
Mjini kote skelewu,ngololo mwisho Chalinze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…