ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
sio unaonekana mwehu ..........ni ...........Ha ha ha mie majina yake tu huwa nacheka hadi machozi. Hapa niko msibani, watu wamenishangaa kwa kucheka huku nikiw na simu tu. Naonekana mwehu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125]sio unaonekana mwehu ..........ni ...........
ndio maana huwa siangalia MTV siku hizi,hawako makini kabisa na kazi zao
hhaha haa Le gademuzz MTV eti wamemsahau Lemutuzz hawako serious u knowwzzhahaahaahahhhj... you know.... ... umenifurahisha mameeen..
King of mashati makubwaaaazzzLemutuuzzzzz the kibabuuuzzzzz wa mabebeezzzzz hatariiiizzzzzzz
Umeona eee,jamaa yupo vizuri kwa majinazzzzzzHa ha ha mie majina yake tu huwa nacheka hadi machozi. Hapa niko msibani, watu wamenishangaa kwa kucheka huku nikiw na simu tu. Naonekana mwehu