MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Hahahaaaaa naona dawa imekuingia kisawasawa unapotezea na mambo ya siasa.
Leo kazi mnayo.

Ha haa hamna..ila kibakuli anapiga hatua...

Ila tupo bize na kuikomboa hii nchi
 
Neyo kahojiwa coke studio wanamuziki anaoweza kufanyanao kazi africa ni psquare vmdee na diamond nyie mnaleta porojo huku
 
Watu na roho zao mbayaaaaaaaaaaaa......!!!
walisubiri aje cokes studioooo
si wangemfata
sasa mnyenyooosha au mmenyooshwaaaaaaaaaaa,
bbbbwwwwaaaaaaahhhhhhjhhhhjh!

Heheheheeeeee mchawi mwenzangu kwani vepeeeeee????!!!!
Chaaaaaaaa!!! Hata nyie wa intaneshino hamjui penye Neyo anaishi hadi msubiri cocacola iwape lift??!!! Aaaaaaah si mlikuwa nae nyie kwenye MTV jameniiii!!! Keh!! Au kosa ni kuappear na le king mwenyeweeee!!!

Btw; nakusalimu mwalimu wangu ukifika shule mgee nifah ubuyu ntakulipa kwa M-Pesa!
 
Last edited by a moderator:
Diamond tulimpandisha wenyewe na tutamshusha..subir aende kwenye uznduz wa kampen.za ccm.pale jangwan

We naweeee ni lini ulimpandisha diamond? ??? Vipi hamna mpango wa kumshusha Joseph Haule? ? Akili zingine hizi bwana!
 

umeona eeeehhuuuuuhhu!!!
waambie hao baambile basikile....hhhahhaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Leo aibu imewafika, hadi neyo kaelewa mziki wa kiba mmebaki ninyi teamDNA
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mwenzako kiba na neyo toka jana saa 6 za usiku wameanza kuingiza vocal, pop it in
 
Mlikua mna mshambulia kiba kumbe roho zilikuwa zinauma ndo mkawa mna ponda eeeh. Any way good move kwao
 
Mlikua mna mshambulia kiba kumbe roho zilikuwa zinauma ndo mkawa mna ponda eeeh. Any way good move kwao

Me roho ilikuwa hainuumi nilisikitishwa ni MTU kuja humu na kutangaza habari za kiuzushi et neyo kamtimua manager salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…