MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Producer Sheddy Clever aliyehusika na upishi wa collabo kubwa ya kimataifa ya staa wa Tanzania, Diamond Platnumz na mwimbaji wa R&B kutoka Marekani, Ne-Yo amedokeza kidogo kuhusu wimbo huo.

Mtayarishaji huyo wa Burn Records amesema kuwa Ne-Yo aliimba baadhi ya maneno ya Kiswahili katika verse yake. "Ne-Yo kaimba Kiswahili katika single hiyo, Diamond alimuimbisha Kiswahili siwezi kusema ni maneno gani ya kiswahili bali watu wakae mkao wa kula" Sheddy aliiambia Millardayo.com.

Hii si mara ya kwanza kwa Diamond kuwaimbisha Kiswahili wasanii wa kimataifa anaofanya nao collabo, alifanya hivyo pia kwenye remix ya Number One aliyomshirikisha Davido, ambaye naye aliimba maneno machache ya Kiswahili.

SOURCE: BONGO5
 
Unajuaje kama yeye si wa kike?

Anawaona tu miandiko yenu inafanana..

Chibu dangote Michael Jackson Of Africa..

Tukutane Milan, iTaly kwenye ugawaji tuzo wa Wanaojuwa mziki duniani Diamond, Nick minaj, Chris brown, eeeeeh hakunaga mafekero kulee MTV washafanya yao
 
Thread za kipuuzi hizi, mods itoen haraka kwani hakuna jipya isitoshe Neyo ni msanii aliyefulia kwa bongo neyo ni sawa na TID
 
Unatamani siku 1 watu wote tumchukie DIAMOND, lakini wapi ndo haiwezekani na haitakaa kuwezekana.Ukiona kichefuchefu kula ndimu au malimao au kama vipi hata mbilimbi zinakuhusu mana ndo msimu wake huu.

none sense idioty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…