Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Laana hizi..!! Watanzania kuweni na adabu. Au ni ulimbukeni wa smartphoneJamaa amekubali Dimpozi, anakula sambuza ya bi mdangala??????????????
Halafu unadai mwenzako anataka kiki kwako wakati wewe ndio unamchokonoa kwa vijimaneno maneno!Amekujibu povu linakutoka!YAAN KUNA MMOJA HAPO ANATAKA NJIA YA MKATO KUPATA MAFANIKIO KUPITIA JINA LA MWENZIE....Iko wazi wivu,chuki na kutokubali kuzidiwa ndo alichonacho hy mwingine
Hahahahaha! Kwani yeye amekataa kuwa amezidiwa au mtazamo wa mashabiki kama wewe kuona hakubali kuwa amezidiwaYAAN KUNA MMOJA HAPO ANATAKA NJIA YA MKATO KUPATA MAFANIKIO KUPITIA JINA LA MWENZIE....Iko wazi wivu,chuki na kutokubali kuzidiwa ndo alichonacho hy mwingine