Rjohn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 613
- 128
najikia amani sana nikikumbuka mtwango sec kutokana na mambo tulioyakuta hatimae kuanza nakuvuka vizingiti nakupata matunda yaliyo bora pale mtwango sec chin ya mkuu wa shule "MH EDWARD MBUNDA" ofcoz he did the best respect kwake pamoja na timu nzima aliyokuwa akiiongoza, je wenzangu mliopita pale mna chakukumbuka?