We Nifah weweeeee..!!! Shauri yako..!Kila siku tunasema, mapenzi yakiisha achaneni kwa amani hamsikii.
Unakufa juu ya mtu ambaye hakupendi tena ili iweje?
Ugomvi, kutokuelewana ni kawaida, ila vikizidi ni hatari kwa afya ya akili. Ndio mambo kama haya.
Inaumiza moyo nifah!Kila siku tunasema, mapenzi yakiisha achaneni kwa amani hamsikii.
Unakufa juu ya mtu ambaye hakupendi tena ili iweje?
Ugomvi, kutokuelewana ni kawaida, ila vikizidi ni hatari kwa afya ya akili. Ndio mambo kama haya.
Ni kweli, lakini sio kufikia kukatisha uhai.Inaumiza moyo nifah!
Angetusikiliza asingekufa huyuKataa ndoa wanazidi kupaaa
Ova
Wakati mwingine mtu anashindwa ku-control akili na hisia zake. Nikuchekeshe. Kuna dada mmoja jirani aligombana na mumewe na akatishia kujiua. Ni vizuri kwanza kujua kuwa huyo dada alikuwa mtu wa hasira za haraka haraka kweli. Basi hiyo siku tukasikia kelele. Kwenda tukakuta dada wa watu amekaa kwenye kochi, amejiniga kwa mikono yote miwili shingoni eti anajinyonga.Kila siku tunasema, mapenzi yakiisha achaneni kwa amani hamsikii.
Unakufa juu ya mtu ambaye hakupendi tena ili iweje?
Ugomvi, kutokuelewana ni kawaida, ila vikizidi ni hatari kwa afya ya akili. Ndio mambo kama haya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1430]Wakati mwingine mtu anashindwa ku-control akili na hisia zake. Nikuchekeshe. Kuna dada mmoja jirani aligombana na mumewe na akatishia kujiua. Ni vizuri kwanza kujua kuwa huyo dada alikuwa mtu wa hasira za haraka haraka kweli. Basi hiyo siku tukasikia kelele. Kwenda tukakuta dada wa watu amekaa kwenye kochi, amejiniga kwa mikono yote miwili shingoni eti anajinyonga.
@Poor BrainAfya ya akili...
Achana na poor brain ila tuu afya ya akili ni muhimu mkuu πππππ@Poor Brain
π€£π€£π€£π€£π€£Angetusikiliza asingekufa huyu
Ndoa haiwafai wajinga.Kataa ndoa wanazidi kupaaa
Ova
ππππππππππ dronedrake uliona mbali kakaJeshi la Polisi mkoani Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kujinyonga katika kijiji cha Majengo kata ya Ziwani Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara.
Mwanaume huyo amekutwa amejinyonga jirani ya nyumba ya mkewe ambaye walikorofishana.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Jumatatu Februari 19,2024, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, ACP-Mtaki Kurwijila amesema mwili ulikutwa jana Jumapili Februari 18, 2024 saa 12 asubuhi ukiningβinia kwenye mti wa mkorosho.
Amesema kwa mujibu wa mkewe, mumewe alitoka nyumbani kwake Februari 12 na kwenda kusikojulikana baada ya kutoelewana.