Pre GE2025 Mtwara: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Pre GE2025 Mtwara: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

1. Issa Ally Mchungahela - Mbunge wa Lulindi

Chama: CCM

Muda wa Uongozi: 2020-2025

Nafasi Nyadhifa Alizowahi Kushika:

Mjumbe wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira (2021-2023).

Matokeo ya Uchaguzi 2020:

Alipata kura 27,515.
Aliyemfuatia: Bwanausi Dismas Jerome (ACT Wazalendo) - kura 7,789.

Elimu:

CPEE: Makong'onda Primary (1980-1983) & Chikolopola Primary (1984-1986).
Shahada ya Kwanza: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1996-1999).
Shahada ya Uzamili: Chuo Kikuu cha Mzumbe (2008-2010).

Kazi Zilizofanyika:

Mhasibu Mkuu - Computech Group (2002-2015).
Mkurugenzi - Life Partner Finance Pharmacy (2000-2016).
Mhadhiri - FBTC (2016-2020).


2. Geoffrey Idelphonce Mwambe - Mbunge wa Masasi Mjini

Chama: CCM

Muda wa Uongozi: 2020-2025

Nafasi Alizowahi Kushika:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) tangu 2021.

Matokeo ya Uchaguzi 2020:

Alipata kura 17,147.
Aliyemfuatia: Katani Hamza Hakika (CUF) - kura 14,087.

Elimu:

CPEE: Shule ya Msingi Mwena (1990).
Shahada ya Kwanza na Uzamili: Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1998-2004).

Kazi Zilizofanyika:

Mchumi Mwandamizi - Benki Kuu ya Tanzania (2004-2015).
Mkurugenzi Mtendaji - TIC (2017-2020).
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni (2016-2017).


3. Hassan Seleman Mtenga - Mbunge wa Mtwara Mjini

Chama: CCM

Muda wa Uongozi: 2020-2025

Nafasi Alizowahi Kushika:

Mjumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii (2021-2023).

Elimu:

CPEE: Shule ya Msingi Chikongola (1980).

Kazi Zilizofanyika:

Katibu Msaidizi wa Mkoa (2008-2012).
Katibu wa Mkoa wa CCM (2014-2020).


4. Shamsia Aziz Mtamba - Mbunge wa Mtwara Vijijini

Chama: CCM

Muda wa Uongozi: 2016-2025

Nafasi Alizowahi Kushika:

Mjumbe wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira.

Matokeo ya Uchaguzi 2020:

Alipata kura 26,215.
Aliyemfuatia: Hawa Abdulrahman (CUF) - kura 18,564.

Elimu:

CPEE: Shule ya Msingi Shangani (2002).
CSEE: Shule ya Sekondari Nawngwanda (2002-2006).

Kazi Zilizofanyika:

Mshauri wa Vijana - FAWAOPA Group (2005-2010).
Mwanachama wa CUF (2011-2017).


5. Abdallah Dadi Chikota - Mbunge wa Nanyamba

Chama: CCM

Muda wa Uongozi: 2015-2025

Matokeo ya Uchaguzi 2020:

Alipata kura 22,262.

Aliyemfuatia: Mohamedi Hasani Ndaile (CCM) - kura 11,265.

Elimu:

Diploma: Chuo cha Ualimu Marangu (1986-1988).
Shahada ya Elimu: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1995-1999).
Shahada ya Uzamili: Chuo Kikuu cha Dodoma (2010-2012).

Kazi Alizowahi Kushika

Afisa Elimu na Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi.
Mjumbe wa Kamati za Bunge: Hesabu za Serikali za Mitaa na Huduma za Jamii.


6. Mhata Ally Yahya - Mbunge wa Nanyumbu

Chama: CCM

Muda wa Uongozi: 2020-2025

Matokeo ya Uchaguzi 2020:

Alipata kura 37,875.

Aliyemfuatia: Nyuchi Mansa Alfred (CHADEMA) - kura 6,829.

Elimu:

Advanced Diploma: IDM - Mzumbe (1988-1991).
Master's Degree: Sikkim Manipal University, India (2011-2012).

Kazi Alizowahi Kushika :

Mhasibu Mkuu katika Ofisi ya Rais (2019-2020).
Mjumbe wa Baraza Kuu la CCM.


7. Cecil David Mwambe - Mbunge wa Ndanda

Chama: CCM

Muda wa Uongozi: 2015-2025

Matokeo ya Uchaguzi 2020:

Alipata kura 30,589.

Aliyemfuatia: Bakari Makumbuli Yusufu (CHADEMA) - kura 8,983.

Elimu:

Master's Degree: Business Education, LSE (2012-2013).

Kazi Alizowahi Kushika:

Meneja Masoko - IPP Ltd (2003-2007).

Mjumbe wa Kamati ya Bajeti (2015-2017).


8. Mkwawa George Huruma Mkuchika - Mbunge wa Newala

Chama: CCM

Muda wa Uongozi: 2005-2025

Matokeo ya Uchaguzi 2020:

Alipata kura 18,705.

Aliyemfuatia: Chilindima Issa Juma (CHADEMA) - kura 8,983.

Elimu:

Bachelor of Arts in Education: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1970-1973).

Kazi Alizowahi Kushika:

Mkuu wa Wilaya na Mkoa (1983-2005).
Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.


9. Maimuna Salum Mtanda - Mbunge wa Newala Vijijini

Chama: CCM

Muda wa Uongozi: 2020-2025

Matokeo ya Uchaguzi 2020:

Alipata kura 21,468.

Aliyemfuatia: Mneke Jafari Saidi (CUF) - kura 13,899.

Elimu:

Shahada ya Uzamili: Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2010).

Kazi Alizowahi Kufanya:

Afisa Elimu Mkoa - Dar es Salaam (2016-2020).

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa na Makong'onda (1980-1983) na baadaye Chikolopola Primary School (1984-1986), ambako alipata Cheti cha Elimu ya Msingi (CPEE). Alijiunga na Shule ya Sekondari ya Ununio Boys, ambako alihitimu na Cheti cha Elimu ya Juu ya Sekondari (ACSEE) kati ya mwaka 1992 na 1994. Alipata Cheti cha Elimu ya Watu Wazima (CSE) katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (1988-1991).
 
Back
Top Bottom