Mtwara: Kivuko cha kubeba watu 100 kinabeba zaidi ya watu 2000 kwa maagizo ya viongozi wa serikali

KYAMBOGO MP

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
8
Reaction score
14
Usiku wa mwaka mpya .
Majanga yanatafutwa kwa lazima.Kiongozi anaruhusu watu wavuke bure na bila utaratibu kwenda kwenye tamasha la mwaka mpya.

Kivuko chenye uwezo wa KUBEBA watu 100 na Magari 3 KINABEBA watu zaidi ya 2000 na hakuna anaejali wa kuchukua tahadhari za kiusalama.

VIONGOZI wa mkoa waoneeni huruma wananchi badala ya kuwatafutia majanga kwa lazima .
 
Attachments

  • VID_20241231_220453.mp4
    16 MB
  • VID_20241231_220559.mp4
    6 MB
  • IMG_20241231_220424.jpg
    245.5 KB · Views: 6
  • IMG_20241231_220240.jpg
    301.9 KB · Views: 6
Mnavuka kwenda kwenye tamasha wapi ndugu,tusaidie tuelewe sii wote wenyeji wq Ntwara
 
Usiku wa mwaka mpya .
Majanga yanatafutwa kwa lazima.Kiongozi anaruhusu watu wavuke bure na bila utaratibu kwenda kwenye tamasha la mwaka mpya.

Kivuko chenye uwezo wa KUBEBA watu 100 na Magari 3 KINABEBA watu zaidi ya 2000 na hakuna anaejali wa kuchukua tahadhari za kiusalama.

VIONGOZI wa mkoa waoneeni huruma wananchi badala ya kuwatafutia majanga kwa lazima.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Attachments

  • IMG_20241231_220240.jpg
    301.9 KB · Views: 4
Nchi ya kisenge saana hii, viongozi wanasaka sifa za kisiasa bila kujali usalama
 
Wajinga zaidi ni hao wanaopanda
 
Wakifa kama kuku utasikia mapenzi ya mungu blah blah...
 
Badala mvuke na chako mnavuka na kivuko😁
 
Haya ndio mambo unakuja kusikia watu wamezama maji wamekufa kwaajili ya uzembe tu wa viongozi na hao Wananchi wajinga .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…