Pre GE2025 Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Pre GE2025 Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.

1729435074851.jpeg

Ramani ya Mtwara

HISTORIA YA MKOA WA MTWARA
Mkoa wa Mtwara ni moja ya mikoa ya kusini mwa Tanzania, maarufu kwa kilimo cha korosho na bandari yake muhimu kwa biashara. Mkoa huu ulianzishwa rasmi wakati wa ukoloni, ukiwa na lengo la kuunganisha biashara kati ya maeneo ya kusini mwa Tanzania na pwani ya Afrika Mashariki. Maendeleo ya Mtwara yalichochewa zaidi baada ya ujenzi wa reli ya Mtwara kuelekea maeneo ya ndani ya nchi. Katika kipindi cha ukoloni wa Ujerumani na baadaye Uingereza, mkoa huu ulijulikana kama kitovu cha kilimo na biashara ya korosho, pamoja na mazao mengine.

HALI YA KISIASA
Mkoa wa Mtwara una jumla ya majimbo kumi (10), ambapo majimbo tisa (9) yana wabunge wa kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), na jimbo moja (1) lina mbunge kutoka Chama cha Civic United Front (CUF) kwa mujibu wa uchaguzi mkuu wa 2020.

MAJIMBO YA MKOA WA MTWARA
  • Jimbo la Mtwara Vijijini​

  • Jimbo la Nanyamba​

  • Jimbo la Mtwara Mjini​

  • Jimbo la Newala Vijijini​

  • Jimbo la Newala Mjini​

  • Jimbo la Ndanda​

  • Jimbo la Lulindi​

  • Jimbo la Masasi Mjini​

  • Jimbo la Tandahimba​

  • Jimbo la Nanyumbu​


UPDATES​

- Kuelekea 2025 - Gerson Msigwa: Serikali yawahakikishia wananchi Uchaguzi Huru na wa Haki 2025

MATUKIO YANAYOJIRI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA MTWARA
- LGE2024 - Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

--

Januari


Februari

  1. Katibu Mkuu CCM Mtwara Mjini: Vijana tumieni mitandao vizuri kwa manufaa ya CCM
  2. Mjumbe wa UWT Hawa Ghasia: Wakina mama tunafanya zaidi ya wanaume. Baada ya Samia, aje tena Rais Mwanamke!
  3. Mjumbe wa UWT Hawa Ghasia: Wakina mama tunafanya zaidi ya wanaume. Baada ya Samia, aje tena Rais Mwanamke!
  4. Tandahimba: Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Maheha kilichogharimu milioni 400
Machi
  1. CCM kuwashughulikia wanaojipitisha majimboni kutaka ubunge. Rais Samia na Dkt. Mwinyi pekee nafasi zao zimejazwa
  2. Pre GE2025 - UWT Masasi waahidi ushindi kwa kishindo kwa rais Samia 2025
 

Attachments

Back
Top Bottom