rakeyescarl JF-Expert Member Joined Dec 9, 2007 Posts 481 Reaction score 147 Feb 22, 2016 #1 Salaam ndugu zangu wana JF! Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses . Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa Lodge/Guest house naweza kuichukua tutakubaliana na mwenye nyumba. Mawasiliano katabazi@hotmail.com au kupitia hapa mimi nitakupigia simu au njia utakayonieleza. Ahsante. Rakey
Salaam ndugu zangu wana JF! Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses . Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa Lodge/Guest house naweza kuichukua tutakubaliana na mwenye nyumba. Mawasiliano katabazi@hotmail.com au kupitia hapa mimi nitakupigia simu au njia utakayonieleza. Ahsante. Rakey