Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!,kubebana na kukoana makwenzi.

Ni lazima ,kila mtu kubeba kitambulisho.

Wenyewe wanasema Ni kwa ajili ya usalama wetu

Note:Kama unapita mitaa hiyo beba vitambulisho vyako
 
Vitambulisho gani? Bidhaa gani? Wanazuia nini?
 
Jeshi linafanya kazi ya askari polisi!!

A big call,maana yake amiri jeshi mkuu ameshindwa ku command vizuri jeshi la polisi sio!!?au!?ndio maana mabakae wameamua kuingia mzigoni au vipi!!?
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!,kubebana na kukoana makwenzi.

Ni lazima ,kila mtu kubeba kitambulisho.
Hao jamaa wapelekwe huko Congo au Niger wapuuzi wakubwa huku hawana kazi
 
Back
Top Bottom