Mtu aliyekula bangi hua anaonekanaje kwani?Nilipita hapo Madimba mwezi wa 8 Mwaka jana, Jamaa wanatembea kwenye lori wamebeba boti na wanaonekana wamekula bangi kweli kweli.
Anakuwa na wengeMtu aliyekula bangi hua anaonekanaje kwani?
Binafsi sisapoti kutesa raia.
🤣🤣Si wameita vijanaBarua ya uthibitisho wa mwenyekiti?
Hiyo hawaitaki, yawezekana umempa mwenyekiti mrungula akakuandikiaBarua ya uthibitisho wa mwenyekiti?
Wewe Ni "kenge" na majibu yako ya kufanana kwa kila postHii taarifa haijakamilika umeandika
as if kila mtu anajua.
Wewe Ni "kenge" na majibu yako ya kufanana kwa kila post
Hao jamaa wapelekwe huko Congo au Niger wapuuzi wakubwa huku hawana kaziMtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!,kubebana na kukoana makwenzi.
Ni lazima ,kila mtu kubeba kitambulisho.
Hivi unajua mtwara kuna watu kule mpakani wanakimbia nyumba zao na maeneno yao wanaogopa kuchinjwa?Hao jamaa wapelekwe huko Congo au Niger wapuuzi wakubwa huku hawana kazi
Congo wanaenda toka kitambo tu, Sudani, Central Africa, Mozambique na LebanonHao jamaa wapelekwe huko Congo au Niger wapuuzi wakubwa huku hawana kazi
Polisi wanafanya nini?Hivi unajua mtwara kuna watu kule mpakani wanakimbia nyumba zao na maeneno yao wanaogopa kuchinjwa?