Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhandisi Ali Suleiman Ali ameendelea kuchanja mbuga nyumba kwa nyumba mitaani katika harakati za kukitafutia kura Chama Cha Mapinduzi katika kampeni za Serikali za Mitaa Tanzania Bara katika Mkoa wa Mtwara, Wilaya ya Mtwara Mjini, Kata ya Magengeni leo tarehe 24/11/2024 kutafuta kura za wagombea wa CCM.
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kama anayoonekana kwenye picha kupiga magoti haitoshi sasa wameamua kuanza kulala chini.