ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Serikali mnajua kabisa jinsi vumbi la makaa ya mawe ilivyo shida kwa wananchi wake mnatuumiza vifua. Vumbi linatembea zaidi ya kilometer 2 kutoka yanapopakuliwa makaa kuingizwa katika meli. Mitaa kuzunguka bandari ukifunga tu nyumbani kwako ukasafiri siku tatu ukirudi ni aibu vumbi lake huliwezi.
Tunakohoa ovyo sasa ukija ukapigwa na corona si ndo kabisa unabanwa kifua unazikwa. Fikirieni cha kufanya aidha muhamishe bandari ya kupakia makaa ya mawe iwe mbali na makazi ya wananchi.
Tunakohoa ovyo sasa ukija ukapigwa na corona si ndo kabisa unabanwa kifua unazikwa. Fikirieni cha kufanya aidha muhamishe bandari ya kupakia makaa ya mawe iwe mbali na makazi ya wananchi.