ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu kwamba baadhi ya magari wanamwaga kule mikindani mbele hawafiki bandar ingawa sio woteUngemalizia, mbona umeishia kushauri kuwa wangehamisha bandari tu na kwanini wasiwe wananchi wahame kupisha bandari.
Ila huwa wanamwaga maji mara mbili kwa sikuSerikali mnajua kabisa jinsi vumbi la makaa ya mawe ilivyo shida kwa wananchi wake mnatuumiza vifua.vumbi linatembea zaidi ya kilometer...
Uko serious na comment hii?muhamishe bandari ya kupakia makaa ya mawe iwe mbali na makazi ya wananchi.
Kuna sehemu mikindani nimeona mlima wa makaa huenda wameamua wajenge kabandari cha muda kule kwani kujenga bandari special kwa kupakia makaa tu inagharimu hela nyingi sana ukizingatia mtwara kina kirefu katika pwani yakeUko serious na comment hii?