proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Nilipokua nasoma darasa la tatu nilisoma hicho kitabu lkn sikukielewa vizuri
Kila nikitazama zile picha nilikua naona manahodha wanakula mua wa kawaida kweli.
Kwa ambaye anaweza kukipata please naomba anitumie ili nielewe vizuri MUA UNAWEZA KUPELEKA CHOMBO MRAMA?.