proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Mua wa kawaida tu huu tunaokunywa mchuzi na kutema nyama[emoji28] [emoji28]Kwanini we we umeelewa muwa gani
Naujua huu tunaokunywa mchuzi na kutema nyamaUkiwa mkubwa utaujua tu
DuuhhMUWA MGEGEDO
Duhhhh........[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kwanini we we umeelewa muwa gani
Kumbe ndio huo hii mi mwenyewe nimehonga sana ili kupata huo mua yan basi tuMUWA MGEGEDO
Waacha weee yan ni nouma hata haoni mbele utamu wa mua hatari sanaView attachment 528416
kwa wasioujua muwa ni kama huu ulioangusha baiskeli...
weka hyo pcha ya kitab tuone wakilaNilipokua nasoma darasa la tatu nilisoma hicho kitabu lkn sikukielewa vizuri
Kila nikitazama zile picha nilikua naona manahodha wanakula mua wa kawaida kweli.
Kwa ambaye anaweza kukipata please naomba anitumie ili nielewe vizuri MUA UNAWEZA KUPELEKA CHOMBO MRAMA?.
Ngoja nitumeweka hyo pcha ya kitab tuone wakila