Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Kumbe ni muwa uo sa kwanini walitufundisha tukiwa watotoKwanini we we umeelewa muwa gani
Si ndio we unahisi hata huu uchumi unayumba kwa sababu ya nn?Muwa huu unatufanya tusijenge, daaah ina maana ndan ya meli nahodha alikuwa ana gegedana akasahau kukiongoza chombo
Si ili ujitambue mapema yan siku hizi hakuna vitamu kama tulivyosoma enzi hii ya hiki kitabuKumbe ni muwa uo sa kwanini walitufundisha tukiwa watoto
Hahaaa kumbe wewe ukila mua unaweza kulewaHahahaaaa muwa wazamisha meli mimi najua ni muwa wa kawaida tu
Hawakusema mua unalewesha wamesema mua wazamisha meliHahaaa kumbe wewe ukila mua unaweza kulewa
Kwa hio ndio kisababishi sioHawakusema mua unalewesha wamesema mua wazamisha meli