Muache. ...aende. ....

Muache. ...aende. ....

Soja p

Senior Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
190
Reaction score
223
MUACHE AENDE
mapenz yana nafasi yake lakini mapenz si kila kitu katika maisha, kumpenda mtu asie kupenda nikujisumbua na kujiumiza bule kwa kujisababishia maumivu na mateso yasiyo kuwa ya lazima.
Kama mtu hakujali wala haeshim hisia zako kwake hakuna ulazima wa kuendelea kulazimisha penz kwan kufanya ivo ni kuutesa moyo wako bila sabab za msingi,
Usiumie sana kiasi cha kutaka kukatisha uhai wako pindi unapo Achwa au kuambiwa na mpenz wako kuwa sikupend, maisha yako ni ya thaman sana kuliko hata hayo mapenz huwez kuhatalisha maisha yako kwa ajil ya mapenz
Tambua huyo alie kuacha si mtu pekee kwan wapo wenye kutambua thaman yako, wapo wanao kupenda kwa dhat kuliko huyo alie ondoka hivyo usione kama mkosi au huna bahati ukachukua uamzi mbaya kwa sabab yake
Muache aende kwan atakuja mwenye kutambua thaman yako na mwenye mapenz ya dhat na utasahau yote ya nyuma. ..kuwa mwangalifu mapenz hayana mwisho yalikuwepo yapo na yataendelea kuwepo tambua thaman yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mjeda.... Kumwacha aende ni ukomavu wa akili na ni busara pia...
 
Naomba niwe kinyume
Kumuacha aende ni moja ya udhaifu mkubwa ktk mahusiano

Kumuacha aende sio tiba ya kidonda is just a cover

Utaishi Na sononeko all you're life and you will die lonely!

Pili utamtesa tu Wa pili maana real love itabaki kwa the first love kwake uta pretend tu!

If wote wange let go ndoa Na mahusiano wanao celebrate 20 or 50 anniversary wasingekuwepo!

In love kuna ups and down!
So unaweza ukadhani hakupendi kumbe..

Love heroes! And heroines fight for their love and they're able and ready to pay the price for their love

DJ sepetu
 
Mmh.... Ni sawa ila pia inategemea na kifaa gani alichotumia kukumaliza....sina hamu .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niwe kinyume
Kumuacha aende ni moja ya udhaifu mkubwa ktk mahusiano

Kumuacha aende sio tiba ya kidonda is just a cover

Utaishi Na sononeko all you're life and you will die lonely!

Pili utamtesa tu Wa pili maana real love itabaki kwa the first love kwake uta pretend tu!

If wote wange let go ndoa Na mahusiano wanao celebrate 20 or 50 anniversary wasingekuwepo!

In love kuna ups and down!
So unaweza ukadhani hakupendi kumbe..

Love heroes! And heroines fight for their love and they're able and ready to pay the price for their love

DJ sepetu
Umesema sawa ila si kwa hawa binadamu wa sasa...
Hivi umeshawahi kupenda kweli then ukaumizwa ?
Kiasi moyo ukawa radhi kupigania lakini akili inakataa..?! usiombe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2abb1c275df36725997e26bfcf7561e4.jpg
 
Huu uzi umenipa moyo big up mkuu

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Back
Top Bottom