Soja p
Senior Member
- Aug 24, 2017
- 190
- 223
MUACHE AENDE
mapenz yana nafasi yake lakini mapenz si kila kitu katika maisha, kumpenda mtu asie kupenda nikujisumbua na kujiumiza bule kwa kujisababishia maumivu na mateso yasiyo kuwa ya lazima.
Kama mtu hakujali wala haeshim hisia zako kwake hakuna ulazima wa kuendelea kulazimisha penz kwan kufanya ivo ni kuutesa moyo wako bila sabab za msingi,
Usiumie sana kiasi cha kutaka kukatisha uhai wako pindi unapo Achwa au kuambiwa na mpenz wako kuwa sikupend, maisha yako ni ya thaman sana kuliko hata hayo mapenz huwez kuhatalisha maisha yako kwa ajil ya mapenz
Tambua huyo alie kuacha si mtu pekee kwan wapo wenye kutambua thaman yako, wapo wanao kupenda kwa dhat kuliko huyo alie ondoka hivyo usione kama mkosi au huna bahati ukachukua uamzi mbaya kwa sabab yake
Muache aende kwan atakuja mwenye kutambua thaman yako na mwenye mapenz ya dhat na utasahau yote ya nyuma. ..kuwa mwangalifu mapenz hayana mwisho yalikuwepo yapo na yataendelea kuwepo tambua thaman yako
Sent using Jamii Forums mobile app