Muafrika wa kwanza kutawala Roman Empire

Polycarp Mdemu

Senior Member
Joined
Jun 2, 2019
Posts
165
Reaction score
209
LUCIUS SEPTIMIUS SEVERUS

Huyu masta ndio alikuwa Muafrika wa kwanza kuwa mtawala (Emperor) katika Dola la Rumi, Angalau Warumi waliona huyu mtu ni mtu wa kazi, Walimkubali bila shaka.

Lucius Severus alizaliwa mwaka 145 na akafa mwaka 211 lakini kipindi chake cha uongozi kama Mtawala alianza mwaka 193 mpaka mwaka 211. Mahali alipozaliwa paliitwa Leptis Magna wakati huo ila kwa sasa panaitwa Al-Khums nchini Libya.

Jamaa alifanya matukio mengi sana, Hasa kuanzisha vita na wafalme wakubwa na kutawala yeye, moja ya vita zinazojulikana ni zile za Pambano la Lugdunum (Battle of Lugdunum) mjini Gaul ambapo bwana Lucius alipambana huko Lyon Ufaransa na mtawala wa hapo mpaka akasepa na kijiji.

Pambano lingine ni lile linaitwa Battle of Issus ambapo bwana Lucius alipambana na Pescennius Niger huko Cilicia Nchini Uturuki ya sasa na Mwamba akasepa na Kijiji.

Hizo sio kali, Mwaka 208 Lucius alisafiri kwenda Britain na Kuimarisha jeshi katika Ukuta wa Hadrian's ambao ulijulikana kama Ukuta wa vita, au Roman Wall ambao ulikuwa na urefu wa 80 Roman Units sawa na Mita 1480 pia akamiliki eneo ambalo ulikuja kujengwa ukuta wa Antonine (Antonine Wall) wenye urefu wa 63 Km, Foundation za kuta hizi zipo mpaka leo. Baada ya kushika kuta hizi mwaka 209 Lucius alivamia Caledonia (Scotland) akiwa na Jeshi Kikosi kipana kikiwa na wanajeshi 50,000 lakini matamanio yake yalikatishwa alipougua vibaya ugonjwa wa kuambukiza mwishoni mwa mwaka 210 na kufa mwaka 211 huko mjini Eboracum ambayo ndio England ya Juzi kati iliyofungwa na Italy baada ya Wajaluo wa3 kukosa Penalti.

Polycarp Mdemu

Section_of_Hadrian's_Wall_1.jpg
 
View attachment 1851986
Wajaluo watatu wakakosa penalt😂😂
 
🤣🤣🤣🤣😂 wajaruo
 
Back
Top Bottom