Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,304
- 830
Msaada jamani.
Muajiri kamhamisha jamaa yangu tuliyeanza nae kazi January 2015 kutoka kituo kimoja kwenye kingine cha mbali tena hata bila posho yakujikimu wala ya uhamisho wala ya nauri na ukizingatia bado hata kuthibitishwa kazini.
Msaada wakisheria jamani, haki zake ni zipi hapa?na je, muajiri yuko sawa kweli?