jaribu kusoma standing order toleo la 2009,public service act 2003,public service regulation zitakupa mwanga!,maelezo yako ni finyu kiasi cha kushindwa kusaidiwa,mchango wangu ni kama ifuatavyo:-
uamisho wa mtumishi wa umma unastahili zifuatazo:-
disturbance allowance 10% of your annual salary,transportation (1000*km utazo safiri*1.5 Tonne),hela ya kujikimu ya siku 14 wewe,mkeo na wanao wanne au watemezi wao watapewa nusu ya fedha yako/mkeo,rate hii fedha ni kutokana mahali ulipohamishiwa,Makao makuu ya wilaya,mkoa,n.k