Muajiri wako akifunga biashara, una haki gani kisheria dhidi yake?

Konkiii

Senior Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
118
Reaction score
82
Mfano umeajiriwa na mtu binafsi, nafasi ya kumuuzia duka au mhudumu wa afya n.k, na ukamtumikia kwa muda wa miaka zaidi ya kumi, halafu akaamua kusitisha shughuli zake yaani akafunga duka lake au hospital yake na ulikuwa ukifanya kazi bila mkataba.

Je, una haki yeyote unaweza pata toka kwa muajiri wako?

Msaada tafadhali.

[emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…