Wadau,
Kuna ndugu yangu kapata kazi na analipwa milion moja (1m) take home kwa mwezi, je anaweza kupata wapi mkopo wa kuanzia maisha? Anahitaji kama 1.2m na alipe kila mwezi kwa muda wa miezi sita. Hana dhamana atatumia Barua ya mwajiri, ID, barua ya serikali za mitaa na document nyingine itakayohitajika.
Asanteni