Muajiriwa mpya anahitaji mkopo

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,354
Reaction score
3,623
Wadau,

Kuna ndugu yangu kapata kazi na analipwa milion moja (1m) take home kwa mwezi, je anaweza kupata wapi mkopo wa kuanzia maisha? Anahitaji kama 1.2m na alipe kila mwezi kwa muda wa miezi sita. Hana dhamana atatumia Barua ya mwajiri, ID, barua ya serikali za mitaa na document nyingine itakayohitajika.

Asanteni
 
Malcolm05

Akijiunga PSPF,anapewa mkopo na interest ni 7%.Wana hilo fao la kuanzia maisha.
 
Last edited by a moderator:
malcolm0

Yuko wapi ! pm namba, Mimi nafanyaga hivi, tuseme nakupa 1 000 000. riba kwa mwezi 300 000. pia unaweza kulipa riba na hiyo milion ukaendelea kuwa nayo ukawa unalipa riba tu.
 
Last edited by a moderator:
Inachukua muda gani hadi apate na masharti ni yapi?
Thanks.

Ni ndani ya miezı 6 mpaka 12.Wanakopesha mpaka mara3 ya basıc yako na makato mpaka miaka 2.Sharti uwe mwanachama wao.Mwambie aongee na HR wake atamwelekeza.
 
Ni ndani ya miezı 6 mpaka 12.Wanakopesha mpaka mara3 ya basıc yako na makato mpaka miaka 2.Sharti uwe mwanachama wao.Mwambie aongee na HR wake atamwelekeza.

Asante mkuu.
 
Asante mkuu.

Nimekuhurumia tena kabisa, usianze kazi na mkopo utalia, kumbuka mshahara umeshindwa kukidhi unachotaka kufanya na unataka kukopa, mkopo utauripa kwa mda mrefu wakati mshahara nao utapungua zaidi ya hapo, sikushauri subiri angarau umalize mwaka mmoja
 
Malcolm05

Akijiunga PSPF,anapewa mkopo na interest ni 7%.Wana hilo fao la kuanzia maisha.

Mwajiriwa mpya kwenye mifuko ya jamii hutakiwa kumaliza kwanza miezi6 kazini ndo unapewa mikopo. Mfano LAPF NA PSPF wanafanya hivyo kwa mkpo wa kung'arisha geto
 
Last edited by a moderator:
Nimekuhurumia tena kabisa, usianze kazi na mkopo utalia, kumbuka mshahara umeshindwa kukidhi unachotaka kufanya na unataka kukopa, mkopo utauripa kwa mda mrefu wakati mshahara nao utapungua zaidi ya hapo, sikushauri subiri angarau umalize mwaka mmoja

Thanks mkuu, umeshauri vizuri sana.
 
Mwajiriwa mpya kwenye mifuko ya jamii hutakiwa kumaliza kwanza miezi6 kazini ndo unapewa mikopo. Mfano LAPF NA PSPF wanafanya hivyo kwa mkpo wa kung'arisha geto

Appreciated sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…