Mualiko Hafla Ya Kuchangia mfuko wa Benki Peacock Hotel 20/10/2010

Mualiko Hafla Ya Kuchangia mfuko wa Benki Peacock Hotel 20/10/2010

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Napenda Kukualika katika Mjumuiko wa wanabidii katika hoteli ya Peacock iliyopo Dar es salaam , Barabara ya Bibi Titi Pembeni mwa Viwanja vya Mnazi Mmoja .


Lengo la Mjumuiko huu ni kuwa na Sherehe ya Pamoja na Wanabidii wenzako pamoja na Kuchangia mfuko wa Benki ya wanabidii ambayo Iko katika hatua mbalimbali za Maandalizi yake .


Tarehe : 20 Mwezi wa 10 Kuanzia saa 1 Usiku
Kiingilio ni shilingi Elfu 30 Pamoja na chakula cha siku hiyo
Elfu 5 itaenda kwenye mchango wako wa Benki ya wanabidii .
Kutakuwa na vyakula orodha yake iko kwenye attachment vya asili ya afrika mashariki .


Unatakiwa kuthibitisha Ushiriki wa Mjumuiko huu Siku 5 Kabla ya Siku yenyewe .

Maswali zaidi



Mradi wa Benki Piga 0786 786724



Kuhusu Mjumuiko Huu na Viingilio 0787984842

Karibu wewe , ndugu na jamaa yako kwa ajili ya shuguli hii muhimu na maalumu kama mwanabidii .
 

Attachments

Back
Top Bottom