Mualiko Wa harusi!

Mualiko Wa harusi!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Mimi muosha rungu aka DJ sepetu nataraji kuachana Na ukapera sugu.

Mwezi January Nina mpango Wa kufunga pingu za maisha kwa kumuoa binti Mrembo Wa kitutsi.

Najaribu kuona njia bora ya kupata
Wawakilishi watatu toka jf kunisindikiza mwezi Wa 12 ukweni
Rwanda kulipa mahari Na kukamilisha mila.

Nimeona niwataarifu wana jf wenzangu,naomba maombi yenu.
Mungu aweke baraka.
 
Sema garama za usafili go &return garana za kulala kula pocket money atakayemudu ndo uende nae hata kama wote sababu wote member wenzako
Sawa mkuu ngoja niandae bajeti!
 
Sema garama za usafili go &return garana za kulala kula pocket money atakayemudu ndo uende nae hata kama wote sababu wote member wenzako
Hawa watatu nilitaka niwagharamie!
 
Back
Top Bottom