Mualiko wa kuonana na madaktari bingwa kutoka india tar 22 na 23 Machi

Mualiko wa kuonana na madaktari bingwa kutoka india tar 22 na 23 Machi

Tunny Chuddy

New Member
Joined
Mar 17, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Hosplan Clinic ikishirikiana kwa pamoja na hospitali ya “Tiba Health Care Polyclinic “ wanawaletea madaktari bingwa kutoka INDIA kwa tiba za Uti wa mgongo, mifupa, ubongo na viungo . Madaktari hawa watakuwepo hapa nchini kuanzia Tarehe 22 & 23 March (mwezi huu). Eneo ni -Tiba Health Care Upanga Dar es Salaam .

Kuweka miadi(appointment ya kuonana na Daktari) [emoji338] Piga simu namba:- +255 748 555 889 .Mnakaribishwa wote , Asante .
IMG_9531.jpg
 
Back
Top Bottom