Hosplan Clinic ikishirikiana kwa pamoja na hospitali ya “Tiba Health Care Polyclinic “ wanawaletea madaktari bingwa kutoka INDIA kwa tiba za Uti wa mgongo, mifupa, ubongo na viungo . Madaktari hawa watakuwepo hapa nchini kuanzia Tarehe 22 & 23 March (mwezi huu). Eneo ni -Tiba Health Care Upanga Dar es Salaam .
Kuweka miadi(appointment ya kuonana na Daktari) [emoji338] Piga simu namba:- +255 748 555 889 .Mnakaribishwa wote , Asante .