Muamulie ugomvi rafiki yako pale anapokuwa amekandamizwa pekee

Muamulie ugomvi rafiki yako pale anapokuwa amekandamizwa pekee

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Unakuta mtu mmeshazikunja na mtu anytime kina happen halafu anakuja mtu Kwa nyuma anakuvuta vuta mikono je ukipigwa ngumu ya ghafla na adui.

Rafiki mzuri akikuona mnazipanga anatulia kwanza Mpaka uzidiwe Kwa kukandamizwa labda chini ndo aje kuamulia. Sio mtu anakuja nyuma anakubana mikono ooh usigombane khaa wanyama wenyewe wanakoromeana na kutiana makonde kidogo kuleta heshima.
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...

images.jpeg
images (1).jpeg


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom