Muandae mwanao kuwa Tajiri

Muandae mwanao kuwa Tajiri

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Unambiwa Muhasibu anatunza pesa za Kampuni Kwa Sheria, anatumia mshahara Kwa tabia na bado ni maskini pamoja na kusomea pesa.

Mwanao mjengee tabia ya kuweza kuwaza Makubwa ya uwekezaji, na tabu atakazopata uzeeni pindi akiutegemea sana mshahara na kiinua mgongo.

Mfundishe kwa vitendo we kama mzazi, kwa kuwekeza na kunshirikisha kwenye miradi mbali mbali ya familia.



Pata madini
 
Hii kitu inataka nidhamu ya hali ya juu sana. Hakuna kitu kigumu kutekelezeka kama kuweka kujiwekea sheria ambayo ukiivunja hakuna wa kukuadhibu hapo hapo.

Majuto ni mjukuu.

Utasikia, nilikuwa na hela mimi, acha tu.
 
Kwa roho mbaya zetu wanadamu hicho ni kitu cha kufikirika mkuu.

Mtu wa kwanza anaetakiwa kumuinua binadamu ni mzazi sasa fuatilia ukiachana na kuwasomesha watoto ni wazazi wangapi wamejitolea kuwainua kiutajiri watoto wao.
 
Unambiwa Muhasibu anatunza pesa za Kampuni Kwa Sheria, anatumia mshahara Kwa tabia na Bado Ni maskini pamoja na kusomea pesa,

Mwanao mjengee tabia ya kuweza kuwaza Makubwa ya uwekezaji, na tabu atakazopata uzeeni pindi akiutegemea sana mshahara na kiinua mgongo,

Mfundishe kwa vitendo we kama mzazi, kwa kuwekeza na kunshirikisha kwenye miradi mbali mbali ya familia



Pata madini

'Poverty is a state of mind'
 
Hii kitu inataka nidhamu ya hali ya juu sana. Hakuna kitu kigumu kutekelezeka kama kuweka kujiwekea sheria ambayo ukiivunja hakuna wa kukuadhibu hapo hapo...

Majuto ni mjukuu...

Utasikia, nilikuwa na hela mimi, acha tu...
[emoji2][emoji2][emoji2] for really inahitajika nidhamu ya halo ya juu sana
 
Hii kitu inataka nidhamu ya hali ya juu sana. Hakuna kitu kigumu kutekelezeka kama kuweka kujiwekea sheria ambayo ukiivunja hakuna wa kukuadhibu hapo hapo.

Majuto ni mjukuu.

Utasikia, nilikuwa na hela mimi, acha tu.
 
Kaka yangu aijaribu kumtengenezea mwanae maisha sana, more money in the bank, lakini ndiyo hivyo Dogo, hakufikisha miaka 15akadedi,pangaaaa weee ila MUNGU nae anapanga
 
Back
Top Bottom