britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
'Poverty is a state of mind'Unambiwa Muhasibu anatunza pesa za Kampuni Kwa Sheria, anatumia mshahara Kwa tabia na Bado Ni maskini pamoja na kusomea pesa,
Mwanao mjengee tabia ya kuweza kuwaza Makubwa ya uwekezaji, na tabu atakazopata uzeeni pindi akiutegemea sana mshahara na kiinua mgongo,
Mfundishe kwa vitendo we kama mzazi, kwa kuwekeza na kunshirikisha kwenye miradi mbali mbali ya familia
Pata madini
[emoji2][emoji2][emoji2] for really inahitajika nidhamu ya halo ya juu sanaHii kitu inataka nidhamu ya hali ya juu sana. Hakuna kitu kigumu kutekelezeka kama kuweka kujiwekea sheria ambayo ukiivunja hakuna wa kukuadhibu hapo hapo...
Majuto ni mjukuu...
Utasikia, nilikuwa na hela mimi, acha tu...
Hii kitu inataka nidhamu ya hali ya juu sana. Hakuna kitu kigumu kutekelezeka kama kuweka kujiwekea sheria ambayo ukiivunja hakuna wa kukuadhibu hapo hapo.
Majuto ni mjukuu.
Utasikia, nilikuwa na hela mimi, acha tu.
Madam nope muongozo basi bado nahitaji msaada wakoFact
NiambieMadam nope muongozo basi bado nahitaji msaada wako
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app