Muandishi wa Habari wa Kenya Atembelea Somaliland ashangazwa na Uoendo na Ukarimu

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Lord Abraham Mutai (@ItsMutai) on Twitter
Lord Abraham Mutai amezunguka Somaliland na kujionea Mwenyewe jinsi amani na Upendo ulivyotawala jamhuri hiyo

Huku akisema kiasi yuko Somaliland alishuhudia Sherehe za Uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara kutoka Berbera Port Kwenda Ethiopia

Siku hiyohiyo alipata habari ya Mogadishu on Fire Alshababu wameua watu kama mainzi.
Thak you Lord Abraham Mutai Aterere!
Ukweli daima!
 
Kuna tweet nyingine amesema "Somaliland wameweza kuwaweka ISIS AS na Vikundi vya Ubakaji mbali na Taifa hilo lililobarikiwa"
 
Al shabab hawawezi kusogea huko maana watemi wote wako Somaliland
Na biashara zinafanyika bila tabu
Kina mama wanauza dhahabu kama mchicha sokoni na wakati wa sala wanafunika na shuka tu

Kuna maajabu sana huko

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kuna tweet nyingine amesema "Somaliland wameweza kuwaweka ISIS AS na Vikundi vya Ubakaji mbali na Taifa hilo lililobarikiwa"

Acha weeee,
Taifa lililo barikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…