Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimemuona kiungo wa Togo Malouf Tchakei.
Jamaa anajua jamani, anapiga faulo za hatari Bruno gomez cha mtoto, ana control, ana ball brain, ni kiungo hasa soo masihara.
Simba vs Singida kazi ipo