Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Kwani yuko wapi mkuu?Aliyekua anaita wenzie Ponjoro. Yupo katika hatua za kuomba rasmi msamaha.
NB: Achekae mwishoni ndio hucheka sana
Hivi unakuja iyo movie ndo kwanza imeanza subiria pale Bunge litakapokwisha kuvunjwa...apo ndo utajua yule muasisi wa ponjoro alikuwa anaota au ni uhalisia...Aliyekua anaita wenzie Ponjoro. Yupo katika hatua za kuomba rasmi msamaha.
NB: Achekae mwishoni ndio hucheka sana
Siamini Gwajima kuomba msamaha .atawadharirisha sana wasukumaHii movi bado sana mbona! Ndio kwanza ni saa mbili asubuhi
Uyo Ngosha siyo wa kurudi nyuma, anajua Nini anakifanya, lkn mbali na Sakata la Gwaji boy Kuna kaupepo kauwongo kanaibuka pamoja na ujinga umekidhiri miongoni mwa wananchi...yahani inafika hatua Kwa sababu tu ya kupewa pesa kidogo mtu unadiriki kupindisha ukweli kuwa uwongo Kwa maslai yako ya muda mfupi...Siamini Gwajima kuomba msamaha .atawadharirisha sana wasukuma
chawa utaajua tu kwa mandishi yaoAliyekua anaita wenzie Ponjoro. Yupo katika hatua za kuomba rasmi msamaha.
NB: Achekae mwishoni ndio hucheka sana
Aliyekua anaita wenzie Ponjoro. Yupo katika hatua za kuomba rasmi msamaha.
NB: Achekae mwishoni ndio hucheka sana
Amka kumekuchaAliyekua anaita wenzie Ponjoro. Yupo katika hatua za kuomba rasmi msamaha.
NB: Achekae mwishoni ndio hucheka sana
= atawadhalilishaSiamini Gwajima kuomba msamaha .atawadharirisha sana wasukuma
Not serious. Ponjoro lilikuwa likitumika tangu miaka ya 70s. Mtikila alikuwa akitumia gabacholi (wezi wa kihindi).Aliyekua anaita wenzie Ponjoro. Yupo katika hatua za kuomba rasmi msamaha.
NB: Achekae mwishoni ndio hucheka zaidi (he who laughs last laughs best)
Magabachori wa Kariakoo Bado wapo🤣🤣= atawadhalilisha