Muasisi wa neno Ponjoro ajiandaa kuomba Msamaha

Kwa jeuri yake yule bora akufe kuliko kuomba msamaha... I stand to be corrected
 
Aliyekua anaita wenzie Ponjoro. Yupo katika hatua za kuomba rasmi msamaha.

NB: Achekae mwishoni ndio hucheka zaidi (he who laughs last laughs best)
Ebu nipe tofauti wanaoitwa shombe, mgunya, mshashi, mshihiri, mdosi, dingi, mangi, nk umewahi kuona wanashtakuwa? Kama kaitwa ponjoro na halitaki labda anataka aitwe mangi au mdosi haina shida. Mm sielewj ponjoro ni nini zaidi watu wanaita wahindi hivyo. Ni kama kuita mtu mangi. Kuna ugomvi hapo?
 
Duh ulilala nae Hadi ujue ataongea nini kwa wakati Gani?
 
Haijawai tokea kwa kanuni za kiroho ask akikosea haungami kwa washirika anaungama kwa cabinet ya maaskof
 
Nani muongo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…