Leo wanakutana Mabingwa wa kombe la washindi ngazi ya Vilabu na Mabigwa wa kombe la Shirikisho Afrika.
Mpaka Sasa ni Mapumziko Matokeo ni Mamelodi Sundowns(South Afrika) 0 na Tp Mazembe(DRC) 0 yani ni bila bila mpaka sasa.
Tutazid kupashana matokeo zaidi Na pia Naimani next year Yanga atacheza hii fainali akiwa kama Bingwa wa kombe la Washindi.
Time will tell..