MUCCoBS Boom/mkopo majangaaaa WAZIRI AJIBU PUMBA

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Nimetoka kwenye kikao na waziri wa mikopo wa hapa MUCCoBS maswali tumemuuliza karibu yote kashindwa kuyajibu!! tatizo huyu waziri anaogopa kukubali kwamba kuna uzembe kwenye idara husika(Loan officer), uzembe huu ni kwenye kuchelewa kutuma majina ya waliopata supp na waliobadili course!! matokeo yake huyu waziri amekuwa akiwadanganya wanafunzi juu ya lini majina yataletwa na watasign ili wapewe pesa zao!! watu wanahasira sana na muda wowote kuanzia sasa hapa MUCCoBS mgomo unaweza kutokea!! watu wana hasira sanaa hawataki kumsikiliza waziri wa mikopo wa hapa MUCCoBS wanamtaka LOAN OFFICER wa hapa MUCCoBS na sio waziri narudia tena mgomo unaweza kutokea saa yoyote kuanzia sasa hapa MUCCoBS
 
chuoni chenu tatizo ni cha kata ndo mana mnahujumiwa na viongozi wenu pia heslb wamewasahau kama MUCCoBS kama chuo,wenzenu UDSM tunasubiri mzigo wa pili,i love UDSM ever
 
Kakojoee ufilwe.....!!!jitu zima unaongea ujinga what is UDSM?watoto wa wakulima wanalia we unaleta upumbavu wako hapa ivi kuna mtu anapenda mateso?ENDELEA TU NA KAULI ZAKO TUKUBANDUE HCHO KIBOGA CHAKO,We ni mulugo product bila shaka!
 
Dah mkuu watu wanahasira sana aisee kuna watu wanataka kufukuzwa kwenye vyumba kwa sababu hawajalipa pango huwezi amini kuna watu wanategemea boom kwa kila kitu sasa wanapochelewesha wanaleta maisha magumu kwa wanafunzi hapa MUCCoBS
 
mm huwa siongei na mbwa but naongea na mwenye mbwa,inawezekana ww dogo huwa unatembelewa na David Cameroon
 
Mkuu achana na huyo jamaa ! yaani watu wamesubiri kwa mwezi mzima hawapati majibu juu ya nini kinaendelea
 
Dah mkuu watu wanahasira sana aisee kuna watu wanataka kufukuzwa kwenye vyumba kwa sababu hawajalipa pango huwezi amini kuna watu wanategemea boom kwa kila kitu sasa wanapochelewesha wanaleta maisha magumu kwa wanafunzi hapa MUCCoBS

pamoko sana kipanga wa tabora girls
 
mm huwa siongei na mbwa but naongea na mwenye mbwa,inawezekana ww dogo huwa unatembelewa na David Cameroon

Mkuu METAL jaribu kuwa na busara ili tuweze kujadili hili tatizo lililozua SINTOFAHAMU hapa MUCCoBS !
 
Poleni sana..jaribuni kwenda heslb wenyewe ili kujua tatizo ni nin!
 
tar 21 dec mzgo ktk akaunti xmas hyooo bata kwa kwenda mbele,udsm home of intellectuals
 
Kipo Moshi -tanzania

hivi tanzania ipo wap? Au ndio hii hii Tanzania?
Angelalamika mwingine afadhar ila kwa huyu anayejiita mpiga msuli wala sigusw ana kashfa sana kwa vyuo vingine. Mpiga msuli next week hapa MWUCE tunasign mzigo wa pili. Ushaur wangu zidishen ibada
 
poleni bandugu. Ckutarajia kama kuna vyuo bado hawajapata mzgo wa kwnza wakati wengine tunasubiri mzgo wa pili. Wawajibisheni viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…