Dah mkuu watu wanahasira sana aisee kuna watu wanataka kufukuzwa kwenye vyumba kwa sababu hawajalipa pango huwezi amini kuna watu wanategemea boom kwa kila kitu sasa wanapochelewesha wanaleta maisha magumu kwa wanafunzi hapa MUCCoBS
Ina maana boom la kwanza bado hamkupata?
poleni bandugu. Ckutarajia kama kuna vyuo bado hawajapata mzgo wa kwnza wakati wengine tunasubiri mzgo wa pili. Wawajibisheni viongozi.
hamuwezi kumpindua kam mnaona hawajibiki????????????? mi nashauri mpindueni
Aya bhana MPIGAMSULI...
Nilishakwambia tangu zamani ukajifanya paka wa mpishi, leo unakuja apa mikamasi imejaa kifuani unataka tukufute...
Uku kwetu tunangojea boom la xmax, karibu sana CoET...
Pigeni chini huyo waziri.
Icho chuo nakijua vizuri pesa huwa zinawahi kufika ila wachaga lazima wakazungushe ktk bzness zao zikizaa ndio mnawekewa, na wanajua hamuwezi kugoma mpo jirani na ccp, hakuna historia ya mgomo muccobs.
chuoni chenu tatizo ni cha kata ndo mana mnahujumiwa na viongozi wenu pia heslb wamewasahau kama MUCCoBS kama chuo,wenzenu UDSM tunasubiri mzigo wa pili,i love UDSM ever
Mkuu hatujapata! ,ila wengine wamepata tayari