Z Zubeir Abraham New Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Sep 8, 2012 #1 jamani kwa wale wa muccobs Attachments FEE STRUCTURE FOR ACADEMIC YEAR 2012-13.pdf FEE STRUCTURE FOR ACADEMIC YEAR 2012-13.pdf 192.2 KB · Views: 195
Jemsi Senior Member Joined Mar 22, 2012 Posts 149 Reaction score 19 Sep 8, 2012 #2 Vipi wakuu kuhusu joining instruction&admission letter?watatuma au vipi tujuzane jamani?
A Apex JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 425 Reaction score 61 Sep 9, 2012 #3 Jemsi said: Vipi wakuu kuhusu joining instruction&admission letter?watatuma au vipi tujuzane jamani? Click to expand... kaka walisha2ma kitambo kwa kila mwanafunz so kama ujapata jaribu kufuatilia kwa ukaribu wa aina yake,au zama zako muccobs kuchukua,
Jemsi said: Vipi wakuu kuhusu joining instruction&admission letter?watatuma au vipi tujuzane jamani? Click to expand... kaka walisha2ma kitambo kwa kila mwanafunz so kama ujapata jaribu kufuatilia kwa ukaribu wa aina yake,au zama zako muccobs kuchukua,
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Sep 9, 2012 #4 Jamani mimi waliandika slp tuu bila ya kutaja mji ninaokaa ,wakati mimi niliandika slp 374 tabora hawakuandika mkoa dah
Jamani mimi waliandika slp tuu bila ya kutaja mji ninaokaa ,wakati mimi niliandika slp 374 tabora hawakuandika mkoa dah
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Sep 9, 2012 #5 Sasa kama wameandika namba ya posta bila mji nitipata kweli? Au nisafiri toka tabora-moshi dah pesa nyingiii sanaa
Sasa kama wameandika namba ya posta bila mji nitipata kweli? Au nisafiri toka tabora-moshi dah pesa nyingiii sanaa
Jemsi Senior Member Joined Mar 22, 2012 Posts 149 Reaction score 19 Sep 9, 2012 #6 Vipi wakuu,kwa waliotutangulia tujuzeni inatakiwa 1st year waje na kiac gani kabla ya heslb.na vipi maisha ya hapo ni juu ya 7500?
Vipi wakuu,kwa waliotutangulia tujuzeni inatakiwa 1st year waje na kiac gani kabla ya heslb.na vipi maisha ya hapo ni juu ya 7500?