Muccobs hostel hazizingui?

Gazzer

Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
54
Reaction score
13
guyz mwenye habar kuhuxu hostel za MUCCOBS kama zinapatikana,atuhabarishe!!
 
Hostel za MUCCoBS ni tatizo hasa wa watoto wa kiume but kwa wadada kupata ni lazima.
Sema kuna hostel za watu binafsi nje ya chuo japo si mbali na chuo ambapo ukiwahi waweza pata chumba cha watu 4.
Gharama za hostel ni 165000tsh kwa hostel za ndani na za nje ni 200000tsh.kama ni mvulana mi nakushauri kaa Nje.
 

mkubwa unaonaje ukitusaidia majina ya hostel za karibu ukianzia na ya karibu zaidi na chuo ikiwezekana na namba za cm 2fanye kubook.
 

mkuu hostel ya karibu sana na chuo ni ipi iyo? Naomba contact za hapo
 
MIMI MWENYEWE MAJOR JENERAL SAMITI NIPO HAPO MUCCoBS HOSTEL NIMEAMBIWA NI ZA SHIDA SO HEBU MU NI PM ILI NIWAPE MIPANGO
 
2naomba contact,jins ya kupata hostel,kwa yeyote mwenye info.zinaweza saidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…