Muda Gani Baada ya kununua gari kutoka Japan unatakiwa kumwaga Oil ya Gearbox?

Muda Gani Baada ya kununua gari kutoka Japan unatakiwa kumwaga Oil ya Gearbox?

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,212
Msaada wakuu, maana nishatembea mwaka mzima, uwa namwaga Oil ya Engine tu..

Pia service gani nyingine natakiwa kufanya maana chombo bado hiko Poa, si mnajua ki gari cha kwanza wakuu, kwaiyo mambo mengi bado kuyajua vizuri na bora kuuliza kuliko kujifanya unajua then ukazingua zaidi
 
Hujapewa manual guideline? Inaeleza kila kitu cha kufanya au kubadilisha kwa kila kms Fuata hiyo na gari itadumu.
 
hili swala halipo clear sana, mi gari yangu ilikuwa na manual ya kijapani, ila katika mijadala kila mtu ana sema lake, ila kuna mtu alitoa ushuhuda gari zake zimekaa muda mrefu bila kuua gear box. Yeye huwa anabadili gear box oil kila baada ya km 10000.
Mimi pia naifuata hiyo ila kuwa makini na ATF utakayoweka angalia ile stick ya kupimia kama imeandikwa. mafundi wengi wanaweka weka tu.
 
Ni kweli kama halieleweki kivile, kuna wengine wanasema kila baada ya 6,000km wengine 15,000km.

Kwenye stick ya kupimia oil wameandika " No need to replace ATF under normal driving condition"
20180308_133244.jpg
 
Kama gari yako ni auto basi mpaka hiyo oil ya gearbox ( ATF ) itapobadili rangi toka nyekundu hadi nyeusi ndio unabadili , inaweza kuchukua mpaka miaka 6 au 100,000km so nakushauri usibadili kabisa , cha msingi uwe unacheki level yake tu.
 
Kwa kawaida gearbox ya automatic ATF yake uwa ni km 30000 iwapo umeweka type yake genuine.... Kwa gearbox yenye type ya oil ya D-II(DEXON 2) ambazo ni nyingi na upatikanaji wake ni laisi...usije ukawe sijui kampuni ya ajabu ajabu au ile ya kopo jekundu wanauza 6000 ukasema ubadili baada ya km 30000...gearbox itaanza kuagana na ww
 
Gari inapokuwa Japan ili kusafirishwa huo wanapunguza baadhi ya vitu kuepuka milipuko baharini ikiwemo mafuta,pia oil....
Hivyo basi ukishapokea gari cha kwanza ni kuifanyia service.
Na mara nyingi service yake huwa ni ndogo (Kubadilisha Oil,Oil Filter,kisha sababu imetumika huna budi kumuacha fundi aangalie usalama wa vitu vingine kabla hujaanza kukimbizana nayo).
 
Mkuu una uzoefu na uagizaji wamagari from japan hasa used unisaidie kunitoa tongotongo
 
Wapendwa hakuna kitu sensitive na ni expensive ku-repair kama transmission system ya gari... Na transmission is all about transmission fluid.. Always tumia transmission fluid ambayo ipo recommended kwenye deep stick ya gari.. Na hakikisha you buy genuine fluid. Mara nying ile fluid una change km 40000 to 100, 000. Na kwa mie ninae tumia CVT-TC fluid na change after km 100, 000-150, 000) yaan hapa kwa driving yangu km hzo labda miaka 10 ndo ntachange tena. Bongo mafund wana haribu gari za watu.. Unakuta fund gia box inahitaji fluid ya CVT, yeye anaweka ATF, matokeo yake gari unaua gia box.. And hii kitu imewakuta wamilik weng nissan X-trail na MUrano.. Wamekua wahanga wa transmission problems..
 
Gari inapokuwa Japan ili kusafirishwa huo wanapunguza baadhi ya vitu kuepuka milipuko baharini ikiwemo mafuta,pia oil....
Hivyo basi ukishapokea gari cha kwanza ni kuifanyia service.
Na mara nyingi service yake huwa ni ndogo (Kubadilisha Oil,Oil Filter,kisha sababu imetumika huna budi kumuacha fundi aangalie usalama wa vitu vingine kabla hujaanza kukimbizana nayo).
Mimi nilinunua gari ikaja na mafuta nusu tank, pia ATF ilionesha jamaa alikua anafanya service lila baada ya km 20,000 nimeinunua gari ikiwa na km 54400 mara ya mwisho jamaa amefanya service ikiwa na km 49,000 najichanba nikiwa vizuri nifanye service ya gearbox
 
Back
Top Bottom