Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Ni kweli kama halieleweki kivile, kuna wengine wanasema kila baada ya 6,000km wengine 15,000km.hili swala halipo clear sana, mi gari yangu ilikuwa na manual ya kijapani, ila katika mijadala kila mtu ana sema lake, ila kuna mtu alitoa ushuhuda gari zake zimekaa muda mrefu bila kuua gear box. Yeye huwa anabadili gear box oil kila baada ya km 10000.
Mimi pia naifuata hiyo ila kuwa makini na ATF utakayoweka angalia ile stick ya kupimia kama imeandikwa. mafundi wengi wanaweka weka tu.
Mkuu una uzoefu na uagizaji wamagari from japan hasa used unisaidie kunitoa tongotongoGari inapokuwa Japan ili kusafirishwa huo wanapunguza baadhi ya vitu kuepuka milipuko baharini ikiwemo mafuta,pia oil....
Hivyo basi ukishapokea gari cha kwanza ni kuifanyia service.
Na mara nyingi service yake huwa ni ndogo (Kubadilisha Oil,Oil Filter,kisha sababu imetumika huna budi kumuacha fundi aangalie usalama wa vitu vingine kabla hujaanza kukimbizana nayo).
Mimi nilinunua gari ikaja na mafuta nusu tank, pia ATF ilionesha jamaa alikua anafanya service lila baada ya km 20,000 nimeinunua gari ikiwa na km 54400 mara ya mwisho jamaa amefanya service ikiwa na km 49,000 najichanba nikiwa vizuri nifanye service ya gearboxGari inapokuwa Japan ili kusafirishwa huo wanapunguza baadhi ya vitu kuepuka milipuko baharini ikiwemo mafuta,pia oil....
Hivyo basi ukishapokea gari cha kwanza ni kuifanyia service.
Na mara nyingi service yake huwa ni ndogo (Kubadilisha Oil,Oil Filter,kisha sababu imetumika huna budi kumuacha fundi aangalie usalama wa vitu vingine kabla hujaanza kukimbizana nayo).