Ndugu waungwana, nakuja mbele yenu ili kuomba msaada wa haraka na nini nifanye
mapema mwaka 2014 niliajiriwa kama mwalimu katika halmashauri moja hapa nchini Tanzania.
Hata hivyo, kwa kupatwa na tatizo lililo nje ya uwezo wangu nilipata matatizo yaliyopelekea kuondolewa kwenye mfumo wa malipo.
Mwaka 2019 niliomba tena kazi serikalini na hapo nilipangiwa kituo cha kazi katika halmashauri nyingine kwa kuwa nilikuwa nimekwisha kuwa na check Namba sikufanikiwa kupata fedha yoyote ambapo Mwajiri aliniombea kibali kwa katibu Mkuu Utumishi.
Hata hivyo, ni suala ambalo limekuwa na Ngoja Nyingi zisizo na Ukomo Wadau nashinwa kuelewa.
Je, nii miaka mingapi huchukua kukubaliwa kurudi kwenye utumishi wa umma?