Muda gani mrefu umewahi kuongea kwa simu?

Muda gani mrefu umewahi kuongea kwa simu?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Binafsi ni masaa matutu, yan baada ya dakika ya tatu kuisha ifikapo saa nne tigo ilikua free, sasa kazi inayobaki ni kubadilisha tu sikio. Hakika ujana na mapenzi ni adui mkubwa wa common sense.
 
ah asee
masaa manne mara kadhaa.
mí crush-worthy crush aliyenimalizia dakika kwenye simu saaaana.
 
Back
Top Bottom