MapejrTz
New Member
- Jul 21, 2022
- 2
- 1
Jumanne Agosti 23 2022, itakuwa ni siku ya Sensa ya sita (6) tangu Tanzania kupata uhuru. Sensa hii itafanyika kwa mujibu wa sheria ya Takwimu sura Na. 351 kifungu cha 6(2)(a).
Muda sahihi wa watu na makazi yao kuhesabiwa ni usiku wa kuamkia tarehe 23 Agosti 2022.
KUMB: Taarifa zote zitakazo kusanywa katika Sensa hii zitalindwa kwa sheria ya Takwimu sura Na. 351 kifungu cha 6(2)(a).

"SENSA KWA MAENDELEO, JIANDAE KUHESABIWA"