"SENSA KWA MAENDELEO, JIANDAE KUHESABIWA"
Ndugu yangu, sensa hii ni kwa ajili ya maendeleo yako na mimi, na jamii nzima kwa ujumla. Huduma za kijamii kama vile hospitali, shule n.k. haziwezi kufika katika eneo lako kama serikali haina taarifa na idadi ya watu na makazi yao katika jamii yako.Njoen mnihesabu hamnikutiView attachment 2313400
Sensa kwa maendeleo, tujiandae kuhesabiwa
Kwa nchi zinazojitambua inaweza kuwa sahihi, sisi hatujawahi kuwa na mipango mizuri kutokana na viongozi wetu kukosa uadilifuNdugu yangu, sensa hii ni kwa ajili ya maendeleo yako na mimi, na jamii nzima kwa ujumla. Huduma za kijamii kama vile hospitali, shule n.k. haziwezi kufika katika eneo lako kama serikali haina taarifa na idadi ya watu na makazi yao katika jamii yako.
Ni maajabu ya kusikitisha sana! Hii sensa ya Tanzania yetu ni kitendawili kikubwa. Watu hawajiekewi.Jumanne Agosti 23 2022, itakuwa ni siku ya Sensa ya sita (6) tangu Tanzania kupata uhuru. Sensa hii itafanyika kwa mujibu wa sheria ya Takwimu sura Na. 351 kifungu cha 6(2)(a).
Muda sahihi wa watu na makazi yao kuhesabiwa ni usiku wa kuamkia tarehe 23 Agosti 2022.
KUMB: Taarifa zote zitakazo kusanywa katika Sensa hii zitalindwa kwa sheria ya Takwimu sura Na. 351 kifungu cha 6(2)(a).
Ndugu yangu, sensa hii ni kwa ajili ya maendeleo yako na mimi, na jamii nzima kwa ujumla. Huduma za kijamii kama vile hospitali, shule n.k. haziwezi kufika katika eneo lako kama serikali haina taarifa na idadi ya watu na makazi yao katika jamii yako.
Kwa Hiyo ni muhimu kuhesabiwa katika eneo lako.
Sensa ni kwa ajili yako na mimi, tujitokeze kuhesabiwa.
Ni maajabu ya kusikitisha sana! Hii sensa ya Tanzania yetu ni kitendawili kikubwa. Watu hawajiekewi.
Hawa wanaofundishwa kufanya zoezi hili nao wanaonekana kutoelewa kutokana na ile tabia ya umimi ya waandaaji.! Nasema hivyo Kwa sababu Nina watu wa karibu hasa waalimu ambao wengi wao ndio wako humo.
WaTanzania wengi hasa vijana wasio na kazi maalum wanalala nje kusiko na makazi maalum!! Hawa wanahesabikaje??
Anyway namba itasomeka kufanikisha zoezi ili mradi kupata Fedha za Maendeleo zaidi Toka Kwa wafadhili. ULAJI MPYA huo.!!
SIASANdugu yangu, sensa hii ni kwa ajili ya maendeleo yako na mimi, na jamii nzima kwa ujumla. Huduma za kijamii kama vile hospitali, shule n.k. haziwezi kufika katika eneo lako kama serikali haina taarifa na idadi ya watu na makazi yao katika jamii yako.
Kwa Hiyo ni muhimu kuhesabiwa katika eneo lako.
Sensa ni kwa ajili yako na mimi, tujitokeze kuhesabiwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njoen mnihesabu hamnikutiView attachment 2313400
Wanahesabiwa pia wako katika kundi maalumuNi maajabu ya kusikitisha sana! Hii sensa ya Tanzania yetu ni kitendawili kikubwa. Watu hawajiekewi.
Hawa wanaofundishwa kufanya zoezi hili nao wanaonekana kutoelewa kutokana na ile tabia ya umimi ya waandaaji.! Nasema hivyo Kwa sababu Nina watu wa karibu hasa waalimu ambao wengi wao ndio wako humo.
WaTanzania wengi hasa vijana wasio na kazi maalum wanalala nje kusiko na makazi maalum!! Hawa wanahesabikaje??
Anyway namba itasomeka kufanikisha zoezi ili mradi kupata Fedha za Maendeleo zaidi Toka Kwa wafadhili. ULAJI MPYA huo.!!
Kama hujui kitu iliza.Ni maajabu ya kusikitisha sana! Hii sensa ya Tanzania yetu ni kitendawili kikubwa. Watu hawajiekewi.
Hawa wanaofundishwa kufanya zoezi hili nao wanaonekana kutoelewa kutokana na ile tabia ya umimi ya waandaaji.! Nasema hivyo Kwa sababu Nina watu wa karibu hasa waalimu ambao wengi wao ndio wako humo.
WaTanzania wengi hasa vijana wasio na kazi maalum wanalala nje kusiko na makazi maalum!! Hawa wanahesabikaje??
Anyway namba itasomeka kufanikisha zoezi ili mradi kupata Fedha za Maendeleo zaidi Toka Kwa wafadhili. ULAJI MPYA huo.!!
Fanyeni Kaz maana sensa itachukua Hadi siku 06 + sasa hizo siku zote unataka off duty ?View attachment 2322881
Kama hili tangazo ni kweli sensa 2022 itafeli.
Watu tupewe Mandatory Off Day.
Sasa mimi huu msimu biashara yangu ya majeneza imekubali mara nyingi nakesha kibandani kwangu kutengeneza majeneza narudi gheto asubuhi kuoga na kubadiri nguo kisha narudi kwenye biashara yangu.Jumanne Agosti 23 2022, itakuwa ni siku ya Sensa ya sita (6) tangu Tanzania kupata uhuru. Sensa hii itafanyika kwa mujibu wa sheria ya Takwimu sura Na. 351 kifungu cha 6(2)(a).
Muda sahihi wa watu na makazi yao kuhesabiwa ni usiku wa kuamkia tarehe 23 Agosti 2022.
KUMB: Taarifa zote zitakazo kusanywa katika Sensa hii zitalindwa kwa sheria ya Takwimu sura Na. 351 kifungu cha 6(2)(a).
wamekusikia mkuuView attachment 2322881
Kama hili tangazo ni kweli sensa 2022 itafeli.
Watu tupewe Mandatory Off Day.