Muda gani sahihi zaidi kurudia tendo la ndoa baada ya awamu au raundi ya kwanza kumalizika?

Muda gani sahihi zaidi kurudia tendo la ndoa baada ya awamu au raundi ya kwanza kumalizika?

Wapo mkuu sijui huwa wanawezaje yani
Kwangu mimi kwa hali ya kawaida siwezi.

Ila kama nimemyanyaswa kisaikolojia na huyo mwanamke, ninaweza.

Manyanyaso hayo, awe kanitusi wakati namtongoza, awe kantolea maneno ya nyodo na kunipa penzi kwa shinikizo la pesa na awe kanizungusha sana kumpata bila sababu.

Nikimpata sishuki, aheri nifie juu ya kifua kuliko kuletewa fedheha za kipumbaf mie.
 
Na kuunganisha tendo juu kwa juu mfululizo hata raundi tatu ina hatari yoyote labda kiafya miongini mwa wenza husika?

Nani ananyanyasika au anaathirika zaidi mathalani kwa uchovu au michubuko, kati ya Me na Ke katika hali hiyo ya tendo?
Round 2 ni health ila tatu huyo anatafuta erectile dysfunctional kwenye mid 40
 
Practice make it perfect .

Au tumia ndomu ukimwaga itoe bado mashine itakuwa hard iingize chap halafu pump utajikuta unazoea
Practice yake inakuwaje hebu niongezee tips mi huwa nachukia sana round ya kwanza huwa nawahi kumwaga 10-15 sometimes nisipofanya foreplay ya kutosha ata 5-7mins sasa natamani niweze kuunga ata mbili ili kurefusha route
 
Fafanua zaidi mkuu. wengine hatuunganishi juu kwa juu il bao 8 ni kawaida tu kulingana na mzuka hasa mechi za ugenini je kuna madhara yapi?
Kuunganisha ina beat bao 8 za kupumzika trust me 😅. Unajua nini ile ndio unachochea unamwagwa ndio wanakua at peak sasa ukiingunisha ndio umemmaliza

Il
 
Practice yake inakuwaje hebu niongezee tips mi huwa nachukia sana round ya kwanza huwa nawahi kumwaga 10-15 sometimes nisipofanya foreplay ya kutosha ata 5-7mins sasa natamani niweze kuunga ata mbili ili kurefusha route
Mbona mkuu maelezo yametimia soma tena . Wengine ni michosho kutype na keyboard cha simu
 
Back
Top Bottom